Je, Wizara ya Elimu Uteuzi huu ni sahihi?

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,812
Wakuu na wahusika wa Elimu, Mwanangu amehitimu kidato cha Nne na kupata matokeo yasiyo ridhisha kwa hesabu amepata (F) ndoto zake ni kuwa Daktari combination zimekubali, CBG lakini ajabu uteuzi umetoka (selection) amepangiwa kwenda Chuo cha biashara tawi la Mwanza (CBE) je hii ni sahihi?

Huku sio kuua ndoto za wataalam tunao wahitaji katika jamii yetu?

Msaada tafadhari..
 
Mkuu weka matokeo yake kwa ujumla tujue namna ya kukushauri na sio kulaumu.

Sometimes watu hawasomi ili watimize ndoto zao ila ni kwa namna matokeo yako unayoyapata ndio yanakupa mwelekeo.

Vile vile kamaa hujaridhika unaweza kumuhamisha kumpeleka private schoools.

CBG ni ngumu kuwa daktari maana Md wanataka PCB tena uwe na divishen one.
 
Lakini wanapewaga nafasi ya kubadilisha akifika huko anaweza akachange akasoma hiyo anayoitaka kama combi imebalance
 
.

Kwa PCB hata division two unapata admission ya kusoma medicine, cha muhimu uwe na angalau na score ya C kwa biology na score ya C kwa Chemistry.
 
Bilashaka alipata 3 huyo
Maana wenye dv 2 wote wamepangwa advance
Alafu kumbuka f hesabu inamaanisha ata bam hatoziweza maana hao CBG wanasoma BAM
Kuna unapesa muombe vyuo vya afya aanze na diploma kama physics kafaulu
 
CBG wanasoma tuu huko private incase una F ya bam they dont care
 
Lakini wanapewaga nafasi ya kubadilisha akifika huko anaweza akachange akasoma hiyo anayoitaka kama combi imebalance

Hahaj☺☺☺ umeshauri pasipokuelewa anachokisema
Iko ivi yeye anataka asome afya lakini kapangiwa chuo cha biashara CBE,unadhani akienda ataikuta afya pale CBE?
Hapo cha msingi aingie NACTE Aombe kozi za afya kama anavotaka kama anasifa kwenye pcb
 
CBG hawaruhusiw Kusoma Kozi za afya siku hizi.Kama Physics hana asahau mambo ya tiba.
Na kwa jinsi navyomfahamu,kama maths ya o level kapata F physics ya advance ni balaa kwake
 
Kama una hela aanze certificate Assistant clinical officer miaka miwili,akimaliza apige Clinical officer mwaka mmoja baada ya hapo atapiga degree nahisi atapunguziwa miaka sidhani atapiga sita tena
 
Mkuu matokeo yake yanasomeka hivyo..
Chemistry -C
Biology- C
Goegraphy- D
Civics -D
English-C
History- D
Physics -F
Mathematic-F
Litreture - D
Kiswahili-C
Weka grade zake kwa Physics, Chemistry na Biology tuone alivyoscore.
 
Physics hajafaulu mkuu..
Bilashaka alipata 3 huyo
Maana wenye dv 2 wote wamepangwa advance
Alafu kumbuka f hesabu inamaanisha ata bam hatoziweza maana hao CBG wanasoma BAM
Kuna unapesa muombe vyuo vya afya aanze na diploma kama physics kafaulu
 
Mkuu matokeo yake yanasomeka hivyo..
Chemistry -C
Biology- C
Goegraphy- D
Civics -D
English-C
History- D
Physics -F
Mathematic-F
Litreture - D
Kiswahili-C
Hapo hakunana coz iliyo balance mwache akasome tu CBE
 
Back
Top Bottom