Hivi uyu ni shetani au?

Passed

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
561
156
Yani jamani nina uwezo darasani lakini nakutwa na hali ya kukata kata tamaa tu hii hali inanifanya nikiingia kwenye mitihani nakuwa napanic mf kuna mtihani nilikuwa na uwezo wa kupata 15 ya 15 lakini hadi nimejikuta nimepata 11 ya 15 nifanyeje jamani hii hali siitaki ya kukata tamaa nataka kusoma jamani.
 
Kama unauwezo darasani inaonekana kunakitu kinakudisturb kaa chini tulia ujue unashida gani alafu uitatue akiki yako irudi darasani utarudi katika hali yako ya kawaida
 
- Mtihani unapima vitu vingi na sio unachokijua pekee. Vitu kama Utunzaji wa muda na ufanisi wa mwanafunzi akiwa under pressure.

- Tafuta wenzako mtengeneze grup mtakalokua mnatungiana mitihani kila siku, kufanya hivyo pressure ya mtihani itakutoka.

- Don't take school very serious, tuliza akili, cheza na kufurahi na wenzako.

NB: Sio kila anaefeli mtihani hajui vitu.
 
Nakazia
 
Back
Top Bottom