Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Tumeona baada ya matokeo ya form six kutangazwa na shule nyingi za Serikali kuingia kwenye 10 bora, sasa wameibuka wanasiasa, wakijinasibu namna matokeo hayo yalivyopatikana, wengi wanasifia...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Niko chuo mwaka wa pili naingia watatu kumalizia degree yang nimegundua kuwa niko napenda course nyingine tena, and I can’t stop thinking about it, kwa hyo nauliza kama kuna uwezekano wa kuanza...
0 Reactions
4 Replies
939 Views
Habari wana JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nina ndugu yangu alimaliza mwaka jana kidato cha sita mchepuo wa PCB na akapata matokeo ya dvn three point 13 akiwa na physics-E ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ Shalooom wote πŸ‘‹πŸΌ, Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wale wote waliomaliza KIDATO cha 6 na MATOKEO yao kutangazwa hapo Jana August 21 2020. *Kitu cha kuzingatia kabla ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Matarsoft Company inatoa huduma ya kutengeza tovuti ya aina yoyote kwa bei rahisi. Bei yetu ni kuanzia laki moja na nusu (150,000 Tsh) Mambo yanayopatikana katika huduma zetu. 1...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu, Tunafahamu kuwa guide book ya TCU imetoka 2020/2021 lakini kwa yeyote mwenye info kuhusu TCU wanafungua application lini za enrollment Degree Courses 2020/2021 tunaomba atueleze.
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Habari wana, shikamooni wana jf, Tumeona matokeo ya form six yametoka, bila kupoteza muda Naomba niende kwenye uzi moja kwa moja siasa tumwachie jiwe na kamati yake. Naombeni ushauri wa utu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Ninaombeni maelekezo kuhusu kufanya masters online kwa vyuo vya ulaya na marekani, Ni njia gani rahisi ya kufanya hivyo? Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu na hayo mambo. Ni chuo gani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini za mchana ndugu zangu,kuna kijana wangu amechaguliwa kujiunga na shule ya Kamagi Sekondari, kidato cha tano (HGL) iliyoko wilaya ya Sikonge mkoani Tabora na kama mnavyojua mwezi ujao...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Baaada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa rasmi leo hii. Yakionesha ufaulu mkubwa katika shule za serikali kuliko shule binafsi. Katika kumi bora ya shule zilizongoza kwa ufaulu binafsi...
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Heshima kwenu wana Jamvi, mie mpya mpya hapa jukwaa la Elimu japokuwa huwa nasoma na kuelewa mada mbalimbali, hongereni. Ndugu nyote, Ndugu mama Ndalichako, Elimu, Elimu ,Elimu ya Tanzania Mambo...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Kama kuna shule binafsi zinaanza mosomo ya Pre-Form Five mwezi ujao wa pili hii maana yake, shule za serikali miaka yote zitakuwa zinaburuzwa na shule za watu binafsi kwa sababu zilizo wazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau wa Elimu. Naomba kufahamishwa ile Leaving Certificate unayopatiwa baada ya kuhitimu kidato cha nne au cha sita. Ina kazi tena baada ya kuwa umeshapata na vyeti halisi vya kuhitimu...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita. Point yangu ni kuwa: 1. Kama mtu amefeli, hana...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimelipia ada ya kuomba vyuo vya kati kutoka NACTE lakini maajabu ni kua sioni option ya chuo kinachotoa IT. Tafadhali mwenye access ya vyuo anisaidie niende moja kwa moja naona pesa yangu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau kuna interview ya shirika moja la wakimbizi nimeapata nafasi ya kufanya nao interview. Ninachoomba hapa ni kufahamu kuhusu shirika hilo kama utakuwa na uzoefu nalo ama pia namna ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, mwenye tetesi yoyote kuhusu hili, maana naona muda unaisha kwa wale wasiopenda kuomba mkopo kabla ya kujua matokeo yao kwa waliofanya mtihani mwaka huu.
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Naomben msaada wenu kwa wale mliosikia kuhusu wanachuo wanaoitwa special diploma in education mwaka 2018 eti ni kweli na wao wanafanya mtihani wa form six mwakani sijaelewa naombeni wataalam wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninafikiria kununu kitabu hiki ila bei yake ni kubwa sana kuliko vitabu vya aina hiyo ambavyo huwa ninanunua. Bei yake inafikia karibu $200 wakati nimeshanunua na kusoma vitabu kama vya Mandela...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…