Habari,
Naomba msaada kidogo wanajukwaa.
Nilikuwa na tatizo kwenye cheti cha kuzaliwa na nimefanikiwa kupata deed poll tayari.
Je, natakiwa niipeleke RITA kuhakikiwa au naituma heslb moja kwa...
Wakuu nimemaliza chuo kikuu cha ushirika moshi diploma ya uhasibu na nimepata overall GPA ya 4.1 na nataka kuapply mzumbe, UDSM na UDOM.
Je, naweza kupata kimoja wapo hapo Nina division 4 ya 27...
Habari wakuu,
Naomba msaada nhitaji kufanya application kwa kozi ya business administration lakini kuna vyuo hivi viwili CBE na TIA pote kozi inapatikana nilikuwa naomba msaada kwa mtu mweny...
The principal of Mwanza Institute of Hotel and Tourism Management, is announcing for new Intake begin on 09/01/2023
The college offering the following certificate level courses:-
1.HOTEL...
Taifa letu taifa lolote ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?)...
Habari za majukumu wapambanaji, naombeni ushauri kutoka kwenu. Hivi kati ya Masters of Business Administration na Masters of Economics (University of Dar es salaam), which one is more valuable in...
Habari wakuu?
Naombeni ushauri wenu, mm nimesoma FTC or ordinary diploma in Mechanical Engineering under government spornsership ! Sikupitia advance
Lakini nilipokuja mtaani nakuona hali ilivyo...
Habari zenu wanna jf.
Nina diploma ya accounting nimepata kazi ila sina cheti cha form four. Mwenye mdada ninapoweza kukipata anijulishe plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hii kozi ya cellular phone maintenance inayotolewa na veta kwa miezi mitatu kwa upande wa software na hardware, sasa je swali ni hivi, kuna uwezekano mtu ukajua software na hardware kwa miezi...
Amani iwe kwenu!
Wakuu, natafuta nafasi ya Kidato cha Tano kwa shule binafsi ya Wasichana kwa tahasusi ya EGM.
Shule iwe katika moja ya mikoa ya Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro, Tabora au...
Habari za muda huu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ningependa kufahamishwa utofauti ktk hizo engineer na jinsi unavyoweza pata ajira either kwa kuajiriwa au kujiajiri
KODI YA ZUIO NI NINI?
(Withholding Tax) Ni kiasi kinachokatwa wakati malipo yanapofanyika kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
"Eng Evans amepanga nyumba kwa Bw. Noah kwa ajiri ya kufungua...
Watoto ama wanafunzi wanaosoma English medium school kichwani hamna kitu wanachojua ni kuongea kiingereza tu...
Ila other subjects nothing kabsa yaani hata wa shule za kata bora wana uelewa mkubwa!
Msaada jamani kulingana na kusoma huku nafanya kazi za gereji na changamoto za hapa na pale, nikapata GPA ya 2.8 katika Department ya uhasibu Ila lengo mama nataka nipate degree naombeni mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.