zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Baaada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa rasmi leo hii. Yakionesha ufaulu mkubwa katika shule za serikali kuliko shule binafsi.
Katika kumi bora ya shule zilizongoza kwa ufaulu binafsi wamepata shule mbili tu. Matarajio ya wadau na wazazi ni kuona ufaulu katika shule binafsi ukipamba moto Lakini kwa siku za hivi karibuni imekuwa tofauti
Je ni muda sasa kwa wadau kuweka imani na matarajio yao kwa shule za Serikali?
Lakini nini maoni yako juu ya matokeo haya?