Wana JF.
Basi, ikiwa zimebaki siku chache ili wanafunzi wa kidato cha sita waanze mitihani ya kumaliza elimu ya juu ya Sekondari, ni muhimu sasa kuwapa ushauri wakasome kozi ipi itakayowasaidia...
Kwa anayeelewa juu ya Jambo Hili inakuajeh kuna effect zozote kwa muombaji maake ukiandika namba ya shule inaleta jina but ukiprint form inakuja sehemu ya advance pameandikwa school name not found
Naamini mu wazima wa afya. Nlikuwa naomba msaada wa utofauti kati ya Wildlife Management na Tourism Management. Naona ni course tofauti zipo SUA ila sijazielewa.
Karibuni sana
TCU wanataka PHY, CHM, BIO, B/MATH na ENG yote uwe na angalau alama D
ila
Mm Clinical medicine diploma nna GPA -4.6
O_level
Phy-C
Chm-C
Bio-C
Eng-E
B/Math-F
Jamani,kuna shule ya kikatolic ya masista wa mt Mary huko Kisarawe, Wengi wanaoiendesha hiyo shule ni masista wa ki filipino.Cardinaly Pengo alitoa hekari 150,ili wajenge hiyo shule, Inachukuwa...
Habar zenyu wana JF!
Naomba msaad wenu kwa vyuo vizur ambavyo naweza soma IT au computer science nikatoka na uzoef(theory and practical) ambao utanifany nifanikiwe katka fani hizo either kwa...
Wakuu samahan, nataka kujua kwa mtu anayeelewa zaid kuhusu hiki chuo cha DIT anambie ni wanafunzi wangap wa mechanical engineering hiki chuo kinaweza kubeba?
Chuo cha Uhasibu cha Arusha,IAA kimetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizo sambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanafunzi wa chuo hicho wameandamana usiku wakidai fedha za mikopo kutoka bodi ya...
Naombeni msaada mafundi simu mnisaidie nijifunze na mimi ufundi hata nikienda chuo nisikose mia mbili mia tatu za ufundi.
Kwa sasa nipo tu nyumbani sina kazi, sina kibarua chochote licha ya...
Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilihitimu Form Six 2017 ila sikwenda chuo japo nilichaguliwa sasa mwaka huu nilipofanya applications system zinanikataa zinasema tayari nishakuwa admitted kwenye...
Habari zenu wadau wa Elimu
I hope mko poa, mimi ni mtu ambaye nimesoma Certificate (Astashahada/Cheti) katika moja ya vyuo vikubwa 2 hapa nchini, lakini pia nimefanikiwa kusoma...
Habarini wana JamiiForums,
Nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna mtu miaka ya hivi karibuni amechaguliwa kusoma Nursing au Pharmacy kwa ngazi ya degree na alisoma CBG.
Habari wana JF,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Afya ngazi ya Diploma nachukua Diploma ya Clinical Medicine. Kwa sasa nipo mwaka wa kwanza ndo tuliorudishwa kwenye hii likizo lakini nilikuwa tayar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.