Hivi matokeo ya Form Six 2020 yanatoka lini?

georgemugwangala

Senior Member
May 29, 2016
109
21
Wadau, mwenye tetesi yoyote kuhusu hili, maana naona muda unaisha kwa wale wasiopenda kuomba mkopo kabla ya kujua matokeo yao kwa waliofanya mtihani mwaka huu.
 
Mkopo hauna uhusiano na matokeo....
Kijana unatakiwa kujiamini kwa ulichofanya
seriously,sasa kuna maana gani kama una apply mkopo alafu matokeo yakaja umepata div 0.Kujiamini hakuhusiani pia na matokeo mzee baba. Matokeo siku zote hayatabiriki unaweza ona umefanya vizuri matokeo yakaja vibaya
 
Kumbe ndio system ya sasa hivi?
 
seriously,sasa kuna maana gani kama una apply mkopo alafu matokeo yakaja umepata div 0.Kujiamini hakuhusiani pia na matokeo mzee baba. Matokeo siku zote hayatabiriki unaweza ona umefanya vizuri matokeo yakaja vibaya
Mbona watu wanakata bima za Afya, wakiwa hawana uhakika wa kuumwa au kupata ajali
 
seriously,sasa kuna maana gani kama una apply mkopo alafu matokeo yakaja umepata div 0.Kujiamini hakuhusiani pia na matokeo mzee baba. Matokeo siku zote hayatabiriki unaweza ona umefanya vizuri matokeo yakaja vibaya
Bado unaakili zakitoto ngoja ukose huo mkopo halafu uone utamu wa kusubiria chuo hadi mwakani,

Kwenye haya maswala ya kuomba vyuo ama mkopo inabidi uombe haraka sana pale wanapofungua maombi.. Kumbuka kuna watu wa mwaka jana nao wanaomba kuna wa mwaka juzi, kuna form 6 wenzako kuna wanaomaliza diploma nao wanaomba,

Sasa wewe jicheleweshe wale waliowahi kuomba ndo watapewa kipaumbele, kwenye maswala ya hela serikali hainaga mzaha ukikosea kidogo tu unapigwa chini wanapewa wenye uhitaji,

Jihamini mkuu kama ulifanya mtihani vizuri omba mkopo kwenye swala la kufauli Muachie Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana mi mwenyewe namshangaa jamaa
Mwaka huu corona imeharibu ratiba..ndo maana lakini HESLB walishatoa muongozo kwamba dirisha la maombi lipo wazi kwa siku 40... Inabidi wanafunzi waombe kisha wasubirie majibu...kurahisisha mambo...maana majibu yakitoka kuna kuomba vyuo napo.
Screenshot_20200820-134050.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom