Kwa matokeo haya kozi gani ya Sayansi kati ya hizi anaweza kuchaguliwa?

Apr 29, 2020
36
95
Habari wana JF,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nina ndugu yangu alimaliza mwaka jana kidato cha sita mchepuo wa PCB na akapata matokeo ya dvn three point 13 akiwa na physics-E , Chemistry-D , Biology-D , BAM- F , GS -E.

Yeye alitamani kozi zifuatazo:

Bachelor of science in human nutrition

Bachelor of science in agricultural general

Bachelor of science in animal science

Bachelor of science in Biotechnology and laboratory science

Bachelor of science in bee resource management

Bachelor of science in food science and technology

Bachelor of science in veterinary medicine

Na je katika izo koz ni ipi ni nzur zaid kwa upande wa kujiajiri.

Nawasilisha wakuu!
 
bloggerboy

Member
Nov 13, 2017
91
150

Ili aweze kujiajiri na kuitendea haki elimu yake atakayoipata ,mwambie akasomee kilichopo moyoni mwake,ndio siri ya mafanikio yake!

Vet,food science, hatopata ila hizo nyingine anapata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom