Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Nimelipia ada ya kuomba vyuo vya kati kutoka NACTE lakini maajabu ni kua sioni option ya chuo kinachotoa IT. Tafadhali mwenye access ya vyuo anisaidie niende moja kwa moja naona pesa yangu imeliwa, sijasoma sayansi.