Baadhi ya shule binafsi zitaanza pre-form five mwezi wa pili, serikali mpaka mwezi wa saba. Hii maana yake nini?

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Kama kuna shule binafsi zinaanza mosomo ya Pre-Form Five mwezi ujao wa pili hii maana yake, shule za serikali miaka yote zitakuwa zinaburuzwa na shule za watu binafsi kwa sababu zilizo wazi kabisa, serikali badilikeni, hii tofauti ya miezi mitano ni kubwa sana.
 
Hii likizo ya miezi sita kabla ya kidato kinachofuata ilifaa mzazi akae na kijana wake akimfunza yampasayo familia na ukoo wao. Vizazi vya leo vinakua havijui historia ndugu na jamaa zao, wazazi wanakimbiza shilingi na muda....

Na hizi shule binafsi sio tuu wanamjali mwanao afaulu, ujue Feb hadi June hawakai na mwanao bure, unalipia nje ya ada ya form 5 maana bado haijaanza, wao wanafanya biashara wakati serikali haifanyi biashara, usipokaa na mwanao kumfunza, ulimwengu utamfunza hasa muda wa likizo.

Jicho la Kasinde.
 
Kasie!.... I likely attracted with you, How old are you Kasie Matata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka Lin kidato cha sita shule za private zikafanya vizur kuliko za serikali? Acha kukarii, shule za private huongoza kidato cha nne ila cha sita wanaburuzwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnaacha kukariri, haya matokeo yametoka shule za serikali nane zipo kumi bora, toka lin shule za private zikaziburuza shule za serikali kwa kidato cha sita? Hata hivyo vidato vya chini hua wanabebwa na kufanya mchujo tu.

Back
Top Bottom