Jamani kwa wale waliosoma vyuo kama UDSM mnasemaje kuhusu walimu wa kibongo (Dr. & Professors)? Je ni kweli kwamba ni wanoko, au sisi wanafunzi hatuna akili, au basi tuu huwa hawataki mtu amalize shule yake kwa amani? Maana unakuta mtu anagandishwa hata miaka 3 kazi yake supervisor ameikalia.