Wanafunzi udom msipitwe na makala hii tafadhali, itawasaidia next time.

Wana-JF, hatuna budi kukubali kwamba siyo vijana wote wa UDOM ni wapenzi wa ccm. Mjuavyo, kwa mda mrefu sasa, katika vyuo vikuu vyote nchini, kila mbinu imekuwa ikifanyika kuweka viongozi wa wanafunzi ambao ni makada wa ccm; hivyo viongozi hao huwa hawawakilishi mawazo ya wanafunzi bali ya wale walio waweka madarakani. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa UDOM. Hayo ya kutoa fedha za kununua fomu ya kugombea urais kwa JK yalifanywa na hao viongozi wazandiki, hivyo hilo lisitufanye tuonee na wale ambao hawakuwemo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom