Ufisadi mwingine udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mwingine udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by DON KILLUMINATI, Jan 12, 2011.

 1. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. Chloe O'brian

  Chloe O'brian Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si walimchangia mkulu, inaonekana hawana shida na hela ndogondogo.
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nashangaa serikali inasuburi nini kuunda tume huru kuchunguza ufisadi wa udom. Ufisadi uliopo palle ni wa kutisha uongozi wa chuo Chini ya SHABAN MLACHA na MHASIBU WA CHUO HICHO ulitumia upya wa chuo hicho na ugeni wa wahadhiri wengi ambao asilimia kubwa walikua wanaingia kazini katika taasisi kubwa kwa mara ya kwanza kufanya ufisadi huo lakini baada ya miaka mitatu wahadhiri na wanafunzi wamepata experience. Ile dhana ya UDOM kutatua matatizo kwa njia ya diplomasia (mazungumzo) imepitwa na wakati chuoni hapo. Diplomasia imeshindwa kuzaa matunda chuoni hapo na sasa ni mwendo wa migomo tu. CHEO NI DHAMANA.
   
 4. THE GEEK

  THE GEEK Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chuo kichanga kinaanza na sifa mbaya namna hii......

  Aibu.
   
 5. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  mijitu mingine bwana imekalia walimchangia mkullu walimchangia mkullu wakati pessa walitoa wana ccm wenyewe na wakairudisha ccm ili wajinga waamini wajinga endeleeni kuamini kuwa udom walichangia fomu, endeleeni kuamini udom ni chuo cha ccm kwani wengine hamuambiliki
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu unahasira na UDOM utadhani ni ya kwako hicho ni cha ccm hutaki???
   
 7. papason

  papason JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Kwendeni zenu ukoo nyie vitoto vya CCMm tene komeni kabisaaa!!si mlitaka wenyewee
   
 8. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  dogo acha wivu wewe, nakujua fika...
   
 9. m

  mabogini Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we huna tofauti na makamba au fisi,mary chatanda
   
 10. I

  Ilonza Senior Member

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ccm ninani labda ni wewe. acha fikra mgando kaka. Unayoyasema hayana TBS. acha acha kabisa.
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Udom cjui vp? Jana wanakaa na kumshangilia wanayemuita mtoto wa mkulima, ambaye ni mmoja wa wakurugenz wa Sumry, badala ya kushangilia matokeo wao wanashangilia 2kio. Hakika pinda kawapiga kokoto la macho, yule ni mzee wa kulalamika 2 kama hapa JF.
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  unalia nini?we unaijua hstoria ya jengo la CHMWAGA,kumchangia mlimchangia,hko chuo ni cha csiem na ilo eneo ni lao,ndo maana unaona jk ana uwezo wa kuja hapo kila wakat kama anavoingia magogoni,waliowekwa hapo wamepewa fadhla ndo maana wana kiburi,ndo maana chochote mtakachokifanya hakieleweki,MLIBEBA MABANGO,MKACHANGA PESA NA PIA MKADANGANYWA KUWA MTAPEWA MIKOPO BILA UTATA,KIKO WAPI,MMEANGUKA MAKALIO YAMEKALIA TOPE,
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  karibu jamvini O'brian
   
Loading...