Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

Bandorajr

Member
Mar 27, 2010
19
0
Chuo kikuu cha Dodoma katika college ya Sayansi ya jamii(College of Social Science and Humanities) wamegoma kwa sababu hakuna huduma ya maji hapo chuoni kwao pia wanadai waruhusiwe kufanya Field,maana chuo kimewaambie hawatafanya field bila maelezo ya kutosha.....hadi mda huu njia ya kuelekea chuoni imefungwa na magari hayaruhusiwi kuingia wala kutoka chuoni hapo.
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
wakome ...si walikuwa wanashabikia CCM sasa wampigie JK kumuomba maji
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,212
2,000
Hii thread tayari Iko hapa jamvini bana, tena iko active sana...Mbona mnakanganya watu?...MODS!
 

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,259
2,000
Tena ikiwezekana wapigwe na wamwagiwe maji ya kuwasha,maana u dom ni mambingwa wa kushabikia ccm,ffu chapa haooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo,mlimchangia jk pesa ya kuchukulia fomu sasa mjichangiae na pesa ya kuleta maji,,,,,,,,, ffu chapa haoooooooooooooooooooooooooooooo
 

The Quonquerer

JF-Expert Member
May 14, 2009
777
0
Hao si ndio walikuwa wanaipongeza CCM juzi, na kupinga CHADEMA ku-walk out bungeni, imekuwaje tena?
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,598
2,000
Unfortunately kwa wanafunzi wa UDOM... I have no sympathy to you

Mmejiingiza kwenye siasa za chooni mkasahau mahitaji muhimu

kuna msemo unasema "mtoto mtembezi atakula miguu yake" --- sasa wadogo zangu kuleni siasa zenu na mzitumie kuogea, kufulia na hata kunyeshea gardens za kijani
 

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
813
1,000
Hawa wanaleta vurugu zisizo na msingi.waliingiaje chuo wakati miundo mbinu haijakamilika au tuseme wameiharibu wao?
Walikuwa wepesi kutoa tamko against CDM huku wakisahau matatizo lukuki ya chuo chao.wanastahili adhabu ya virungu vya Ffu.
 

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
0
Kuna uwezekano mkubwa mgomo ukakikumba chuo chote maana madai yao yapo pia kwa colleges zote. ngoja tusubiri
 

semango

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
532
195
hata mimi nilishangaa inakuaje wanafunzi wa chuo kikuu kushabikia ccm!acha wajifunze kua chama wanachoshabikia sio cha wasomi na wataka haki.
 

Buyengwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,072
2,000
Salaam. Kwa taarifa nilizozipata na ninazoendelea kuzipata toka kwa mdau pale UDOM, wanafunzi wamegoma. Chanzo cha mgomo ni madai ya pesa za field (practical training) ambazo inasemekana zimetafunwa na chuo! Mgomo huo umesababisha wakufunzi na wahidhiri wasiingie kazini. Mgomo umepelekea FFU na washawasha lao wavamie chuo kutuliza munkari wa wanafunzi ambao wanataka kwenda ofisi ya PM kutoa dukuduku lao. Pia RC wa Dodoma nae katia timu lakini amezomewa kwavile wanafunzi hawamtaki yeye,wanamtaka PM! Habari zaidi zinapatikana Radio One,Star TV na TBC ambao wamefika hapo chuoni.
 

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,830
2,000
Chuo kikuu cha Dodoma katika college ya Sayansi ya jamii(College of Social Science and Humanities) wamegoma kwa sababu hakuna huduma ya maji hapo chuoni kwao pia wanadai waruhusiwe kufanya Field,maana chuo kimewaambie hawatafanya field bila maelezo ya kutosha.....hadi mda huu njia ya kuelekea chuoni imefungwa na magari hayaruhusiwi kuingia wala kutoka chuoni hapo.

Naskia zinapigwa risasi za plastic.

Mabomu.

Wasaliti.

Shenz.

Wanajifanya wana-CCM kumbe wasaliti?

shenz typ
 

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,952
2,000
Natamani ningekua mmoja wa FFU pale dom.ningetembeza mkong'oto ile mbayaaaaaa!!
Hivi vitoto vya UDOM vinadhani vitaingia kwenye 'system' nya-m-baf yani nina usongo navyo!

''What goes around comes around"
 

Buyengwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,072
2,000
QUOTE=stun;...hivi ni lini haki ya watanzania itapatikana bila kushikana mashati?..

Mkuu haki haiwezi patikana pasipo shikana mashati. Ukisubiri uletewe haki yako nyumbani kwako utasubiri mpaka kaburini. Haki ni lazima itafutwe kwa namna yoyote ile.
 

Kahema

JF-Expert Member
May 21, 2010
202
225
achana nao hawana lolote hawa, si ndo wale waliomchukulia form mkwere? wala sitaki hata kusikia.
 

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
13,486
2,000
Si ndiyo hawa hawa waliomchangia JK pesa za kampeni na kutoa tamko la kupinga CDM baada ya uchaguzi??
 

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,593
2,000
University of Dodoma mnafikri CCM ni yenu walalahoi?

Mliniuzi sana kwa kuiunga Mkono CCM, mnadhani Makamba mropokaji jamaa yenu,

Yeye saivi amewekeza kuhakikisha Januari hatoki kapa.
Mtajijuuuuuuuuuuuu Mmefulia:whoo:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom