Baada ya kile kinachodaiwa kushindwa kwa serikali legelege ya wanafunzi wa kitivo hicho, kusimamia msimamo wao wa wazirl mkuu mh.Pinda kuongea na wanafunzi wote,vilevile hasira kali zimeibuka...
Mkuu wa chuo Prof Kikula kasema baada ya wajumbe 30 wa seneti kukaa wata watunuku shahada ya heshima ya uzamivu a.k.a udaktari mh JK na marehemu Kawawa katika mahafali ya kwanza ya UDOM tar 26 nov...
Serikali kuwaajiri walimu 9,000
Na Edmund Mihale
SERIKALI imerudisha matumani ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu waliomaliza katika nyuo, mbalimbali hapa nchi baada ya kutangaza kuwaajiri...
Taarifa za kuaminika kutoka UDOM zinasema kuwa, Mh. Mizengo K.P. Pinda, leo alikuwa na mkutano na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa takribani masaa 3. Akiwa Chuoni hapo wahadhiri...
Habari zenu waheshimiwa wote,naomba muongozo wenu katika hili katika kusikiasikia kwangu nimesikia kuwa kuna mbingu 7 (7 layer na 7 Heaven)na nikasikia kuwa km 640 kutoka usawa wa ardhi ndio kuna...
NAIROBI, Jan. 14 (Xinhua) -- Wikipedia Foundation has launched an offline encyclopaedia for primary and secondary schools in Kenya.
The CD version named Wikipedia Offline Encyclopaedia would...
Ndugu zangu ingawa niko mbali ila taarifa za kuaminika kutoma UDOM- Chimwaga dakika chache baada ya kiako na waziri mkuu kimethibitisha kwamba wahadhiri wa UDOM walikuwa wakichakachuliwa mishahara...
wanafunzi wa UDOM, nimeona niwawekee hii makala hapa muisome kama hamjabahatika kusoma gazeti la Tanzania daima la Leo. Namuunga mkono 100% mwandishi wa makala hii, yanayowakuta mmejitakia...
MGOMO wa wanafunzi na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) umechukua sura mpya baada ya wanachuo hao kumteka na kumweka chini ya ulinzi kwa saa nne Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, John Tupa, wakitaka...
Kwa muda mrefu sana kumeekuwa na mijadala hapa JF kuhusu ubora wa elimu vyuo vyetu vikuu.Wengine wamefika mbali sana na kudhani kuwa vyuo vingine ni bora kuliko vingine.Mjadala mkubwa ni kuhusu...
Chuo kikuu cha Dodoma katika college ya Sayansi ya jamii(College of Social Science and Humanities) wamegoma kwa sababu hakuna huduma ya maji hapo chuoni kwao pia wanadai waruhusiwe kufanya...
Ndugu wanaJF!
jana katika pita pita nilikutana na mzee mmoja ambaye alinihakikishia kuwa kutoka kwenye chanzo cha uhakika amepata habari kuwa kuna polisi walirape wanafunzi wakati wamewatawanya...
Wanajamvi nafikiria njia gani nzuri tunaweza itumia ili kupeleka ushawishi kwa wasomi walioko shule na vyuo kujiunga na kuutumia huu uwanja wa jf ili kupata taarifa.
Nawasilisha.
Wapendwa nilikuwa pale hazina leo nkapenda niwape tu vidokezo mwenye uwezo wa kufwatilia ajitahdi..nimekutana na wazee wawili na vijana wawili wakifwatilia yale malipo ya udom toka mwaka 2008...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.