Udom kumtunuku jk na kawawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom kumtunuku jk na kawawa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Emanuel Makofia, Nov 23, 2010.

 1. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu wa chuo Prof Kikula kasema baada ya wajumbe 30 wa seneti kukaa wata watunuku shahada ya heshima ya uzamivu a.k.a udaktari mh JK na marehemu Kawawa katika mahafali ya kwanza ya UDOM tar 26 nov 2010.
  Mpo??????????
   
 2. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Aaagh! Udom!aka Chuo Kikuu cha Kata, hata wakimpa u-profesa sawa tu, kumbe hapo UDOM waliochanganyikiwa sio wanafunzi tu, hata walimu wao vilevile tu.

  Wanafunzi walianza na tamko last week, leo viongozi wa chuo chao wanatoa honorary PHD. anavyopenda misifa mheshimiwa mkwere basi atataka tumwite DOUBLE (PHD).
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kujipendekeza tu!!
  Si mmwache akasome phd ili aipate ule wenyewe wenyewe.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Vilaza wa UDOM jiandaeni kuchakachuliwa akili.
  Source: Uhuru
   
 5. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna mchele ulimwagikaga kipindi fulani na hili jina lilikuwemo. Ni mwingine au huyuhuyu?
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kumbe udaktari hata marehemu wanapewa pia??????????????
   
 7. kikaragosi

  kikaragosi Senior Member

  #7
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nini udaktari hata wakimpa U Nurse sawa tu maana hana jipya
   
 8. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Duh!
   
 9. K

  Karandanya Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MH ATAZIDUA ADI ACHOKE ILA AJUI TU KMA WATU WAMEMCHOKA HIV MMEMUONA SURA ILIVYOMSHUKA SAIZ?:laugh::laugh:
   
 10. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  chuo cha CCM na vilaza hicho lazima Kilaza akazindue chuo cha Vilaza wenzake
   
Loading...