Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Muda huu tayari mabibo kumewaka. na pia wamefunga barabara ya mandela kwa dakika 10. sehemu ya mabibo hostel. kesho barabarani rasmi.
0 Reactions
45 Replies
6K Views
knye gazeti la leo daily newz wametoa scholaship za mastaz na phd china kwa anaehitali jipatie nakala yako
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hapo majuzi vijana wa UDOM waliandamana wakiwa na nia ya kuelekea ofisini kwa mizengo pinda aka mtoto wa mkulima kufikisha kilio chao kwake. wakiwa njiani pale makulu walikutana na FFU ambao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi nawashangaa sana wanaokiponda UDOM ni watu hatari sana katika mabadiliko ya elimu nchini wamesahau kabisa ukiritimba wa UDSM miaka iliyopita ambapo ma lecturer walikuwa wanajiona kama Miungu...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Hiiii ndiooo a aaaaaaaaaaaaaa ina mkia mbeleee aaaaaaaaaaaaa eeeeee Hiiiii ndio eee eeeeeeee eeeeeeee iko kama kikombe eeeeeeeeee iiiiiiiiiiiii hiiiiiiii ndio iiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nipo naangalia This week in perspective TBC1. Miongoni mwa washiriki ni Dr Sengondo Mvungi ambaye amejitambulisha na ametambulishwa kuwa anatoka UNIVERSITY OF BAGAMOYO. Inawezekana kikawa ni chuo...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Natoa wito kwa uongozi wa serikali ya wanafunzi wa UDOM kutoa tamko la kuomba radhi kwa kitendo cha baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho kumshambulia mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanachuo kozi ya art wi education wamegoma kwa kukosa mikopo kupitia tcu. Kwa madai kwamba kozi haitambuliki kisheria "kama hamtaki kusoma acheni" hii ni kauli ya prof mmoja mkuu wa chuo hicho...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
OUT kutoa shahada ya uzamili kuhusu ustawi wa jamii Tuesday, 11 January 2011 20:02 newsroom NA...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
je kuna ukweli wowote wa kisayansi kuwa kondoo huwa anapigana na radi?na ukivaa nguo nyekundu utapigwa radi?au ni mapokeo tu?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Dear great thinkers, iam a candate for msc. In construction economics and managemnt in one of the universities, currently iam doing my dissertation on the role of international chamber of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina kijana wangu ambaye nataka akasomee shule ya Secondary huko Uganda yeyote mwenye contact na shule ya secondary nchini Uganda anisaidie pamoja na ushauri wowote ule nitazingatia.:A S 27:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mnijulishe sehemu zenye waalimu wazuri Wanafundisha masomo ya uhasibu kwenye level Ya module E na F.Hasa siku za weekends
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna taarifa zimesikika kuwa wanafunzi wa UDOM wamepitisha mchango kwa ajili ya watu waliokumbwa na madhara yalioletwa na polisi waliotumia nguvu kubwa kuzuia maandamano ya CHADEMA kule Arusha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Accenture, Tanzania, and virtual education A step in the right direction.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kile kinachosemwa ni kutofurahishwa na namna jeshi la polisi linavyoikanyagakanyaga misingi ya Demokrasia,wasomi udom wanajiandaa kuitwangia serikali waraka wenye kurasa 100 kuilaumu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tumeanza kutengeneza poscast zinazohusu masuala ya IT,huu ni mwanzo ambapo kila siku zinavyosonga tutakuwa na mambo mengi tofauti huku tukiwashirikisha wadau wengi zaidi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Google is actually the common name for a number with a million zeros Canada is an Indian word meaning "Big Village". Switching letters is called spoonerism. For example, saying jag of...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Sheria za elimu zina upungufu Samwel Mwanga NI muda mrefu sasa tangu tupata uhuru; serikali imekuwa ikiendelea kutunga sheria...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom