Mtoto wa Mkulima, Si UDOM Pekee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Mkulima, Si UDOM Pekee

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Amanikwenu, Jan 17, 2011.

 1. A

  Amanikwenu Senior Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naomba Waziri Mkuu atambue kuwa matatizo hayako UDOM pekee bali karibu vyuo vyote vikuu vya umma. Ushauri wangu ni kuwa avimulike vyote.
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  noted,ila hadi mtuambie na tunasikia kwa migomo tu sio kwa barua au kwa kutumia jf
   
 3. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Amani hilo ni kweli, yaani huyo CAG asambazwe vyuo vyote vya uma na taasisi zote, watashangaa na kushangauka kwamba ufisadi upo kila kona isipokuwa unazidiana viwango tu!
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  Unamuambia PM au unawaambia watu humu JF wakamuambie PM?WRONG CHANNEL
   
 5. A

  Amanikwenu Senior Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usiwe na wasiwasi ujumbe utamfikia tu kupitia JF. Na kwa taarifa yako umeishamfikia.
   
 6. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  inshalah
   
 7. sweet gal

  sweet gal New Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli na ni imani yangu kuwa haya yote yatashughulikiwa ipasavyo kwa kutambua ukubwa na uzito wa tatizo,,wekeni wazi matatizo yenu yapate kutatuliwa maana kwa kukaa kimya nani ataona??na ndio sababu UDOM wameona waanzishe na kuendeleza MIGOMO.
   
 8. A

  Amanikwenu Senior Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Binafsi nawapongeza sana UDOM kwa kufungua njia. Ni bahati mbaya sana Watawala wetu hawako Proactive na si wasikivu mpaka watikishwe. Hivi kila wiki katika Baraza la Mawaziri huwa wanaongelea nini hasa?
   
Loading...