Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Tawi la Akiba bank la Moshi limekuwa na tabia ya kuwapendelea wanafunzi wa MUCCOBS kwa muda mrefu sasa,ofisi imeja graduates kutoka chuo hiki na hata kwenye upande wa field practical training...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A form one girl at Ngaru Secondary School is admitted at Kerugoya district hospital in critical condition after she was said to have been sexually assaulted with a blunt metal bar after she...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Naomba data kuhusu shule moja inayoitwa Manyunyu Secondary School. Kuna mtu kaniambia hii shule inapatikana Iringa. Ninependa mtu anayeifahamu anijuze kama kweli ipo Iringa; ipo Iringa...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
A 15.5 months programme starting 5 September 2011. The ISS is a University Institute of Erasmus University Rotterdam and based in The Hague, the Netherlands. [Link] www.iss.nl/MA-programme...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika harakati za kuimarisha chama leo ktk chuo kikuu cha Dodoma chadema watafungua tawi ktk eneo nje kidogo na chuo kwa kujumuisha wana Udom na wananchi waishio ktk maeneo hayo ya Ng'ong'ona...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Dokezo la Wadau Nakala chapishi Mtumie mwenzio Jiandikishe utaarifiwe Dk. Mselly Nzotta: Mtanzania anayetamba kitaaluma Sweden Godfrey Dilunga Aprili 6, 2011 Ni bingwa katika...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
nan anpatie current data namba ya boys na girls wanaochukua science subject kwa secondary za tz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za kuaminika ni kuwa, mabango ya matangazo kuhusiana na uzinduzi wa ofisi ya CDM utakaofanyika ng'ong'ona nje kidogo ya Chuo cha Elimu karibu na bati la kijani, kuanzia saa tatu asubuhi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
watakao kuwepo mbowe,lema na wabunge
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya jana wana Udom kupinga utaratibu wa watu kujifungia ndani na kuchangia mswada uku ukiacha mamia ya watu wakiwa nje hawajui la kufanya leo asubuhi wanachuo wengine wakiondoka mida ya saa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naomba niwaulize; hv form za mkopo zimeshatoka?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chuo kikuu dodoma ni miongoni mwa mashirika ya umma ambayo hayajawasilisha report zake kwa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma. Je kuna nini kimejificha kwa taasisi nyeti kama hii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Elimu ya vyuo Tanzania ni chini kutokana na kutokuwa na msukumo wa wanachuo uwepo madarasani. Mwanachuo aingie darasani au asiingie haiathiri cho chote kwa vyuo vya Tanzania. Vyuo vya baadhi ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
"mimi ni mwanazuoni, sio mwanasiasa, ila ninapenda siasa. Wanasiasa hawapendi siasa ila wanapenda madaraka!" maneno ya mwanazuoni mmoja katika kongamano la kwanza la katiba udsm. mimi nataka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Arusha G Lema leo jioni amekutana na wana udom wote wanaotoka Arusha. Nakuzungumza nao mambo mengi muhimu ya maendeleo ambayo msomi anatakiwa kuyafanya kutoa mchango ktk suala la katiba...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali izuie midahalo ya siasa shuleni, vyuoni' TAASISI ya Utawala Bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA) imeishauri Serikali kupiga marufuku midahalo inayochangia kukosekana nidhamu na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania's Ministry of Education and Vocational Training dropped a bombshell last week when it announced its plan to conduct a witch hunt against university lecturers, accusing them of "talking...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kwenda kuongeza buku la media production BA (Hons)! Walio naujuzi mnielekeze process nzima! nimepata shule 1 inatoa BA ya media production kwa mwaka 1. sasa ada ndio mauti EURO 9,100 eti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The trouble with the world is that the stupid are so confident while the intelligent are full of doubt. - Bertrand Russell
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mnitajie centre gani nzuri ya cpa (t) review iliyopo mwanza vile vile mwenye location ya centre hiyo naomba anitajie
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Back
Top Bottom