Naombeni Msaada

KasomaJr

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
367
139
Habari wana-JF. Mimi nina HP Pavilion dv6645el Entertainment Notebook, sound imepotea na nikiangalia driver manager kuna matatizo haya yafuatayo:
  1. Standard Dual channel PCIIDE Controller is not working properly
  2. High Definition Audio Controller is not working properly
  3. Standard Open HCD USB Host controller has a problem.
    1. Microsoft ISATAP Adapter has a driver problem
    2. Microsoft ISATAP Adapter II has driver problem
    3. Microsoft Teredo Tunneling Adapter has driver problem

      Note:
      Machine niliinunua ikiwa na window Vista, nimeondoa na nikaweka window 7. Ilikuwa inafanya vizuri kabisa, ila nilipo downloads Unblue Powersuite na ku-apply ndo imeniletea shida.(Unblue Powersuite ni combination ya 3 programs, i.e. Registry, Driverscanner na PCspeed Up).

      Naombeni msaada ku fix hili tatizo.
      Asante.


[/LIST]
[/LIST]
 
Restore to previous working state (yaani kabla ya hiyo Uniblue), usishau kufanya back-up kwanza

Otherwise anza kuzitafuta hizo drivers kwenye site ya HP. By the way quick search niliyofanya inaonesha kuwa zote zipo kwa internet.

Good luck
 
Restore to previous working state (yaani kabla ya hiyo Uniblue), usishau kufanya back-up kwanza

Otherwise anza kuzitafuta hizo drivers kwenye site ya HP. By the way quick search niliyofanya inaonesha kuwa zote zipo kwa internet.

Good luck

Nashukuru sana kwa response yako. Ukweli nimejaribu kupitia HP support lakini ukweli ni kwamba hawa jamaa drivers zilizopo ni zile zinazo support OS za Vista, Vista 64 bit, XP na 2000. Na live chat support ya HP no longer available kwa machine ambayo muda wake wa warrant umepita. Before haikuwa hivyo, na walikuwa wanasaidia sana, na hata kwa mtu ambae hawezi kufuata zile instructions walisaidia kutumia remote desktop.
So please kama una sound driver tu, nisaidie hiyo kwa sasa. Hizo probs zingine nitatafuta means ya kuzitatua kama si hapa JF.
Asante sana kwa mara nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom