Master of Information studies | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Master of Information studies

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kamikaze, Apr 25, 2011.

 1. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Wana jf habari za pasaka? leo nina shida ya kujua Details za Master of information studies,naomba mtu aliye/anayesoma hii kozi anipe details za hii kozi, Je inahusu nini hasa, ina related na kozi za IT au inarelate na kozi zipi? vp kuhusu wahitimu wake je wanaajiliwa au kujiajili kwenye sekta gani? na vp kuhusu soko lake la ajira?
  Nitafurahi sana greater thinkers kwa msaada wenu.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  inahusisha IT,LAKIN ,MAJOR NA MAMBO YA LIBRARY,U MAY BE LIBRARIAN,yupo rafiki yangu alisoma that course now ni senior librarian at SUA,mimi pia niliopt kozi ya Library education and information management,module ya mwisho ilikua ni Issue za IT hasa zinavyosaidia katika kupata info.
  Hop others wataongea
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  you are right ++knowledge manager/records manager/ information officer(depends on organization structure), kwa tz bado zengwe nimejaribu kuangalia job advertisements nyingi naona wanahitaji form four leaver mwenye certificate so it reflects na salary
  makerere university wana hiyo master unaweza ukapata details kwa website yao
   
Loading...