mwanaharakati7
Member
- Apr 22, 2011
- 7
- 3
kweli DUNIANI hakuna haki ndugu zangu"viongozi wetu ni kati ya makundi ya kwanza kwenda motoni,i swear my MAPIPO;tunanyanyaswa sana,wengine wanasimamishwa masomo eti kisa kudahi haki zetu"naomba vijana tuamke sasa'
"haiwezekani wanafunzi 10 kukuzwa bila sababu yoyote"wametumia uchache wetu na kupata nafasi ya kuwafukuza"sasa hatukubali bora tuondoke wote"hawa ndio maprofessor uchwara ambao hawakutaka college ya social kufanya field"jaman UMOJA NDIO NGUVU,pia kuna viongozi wanao support management tena wametuimbia fedha yetu ya UDOSO,tunaomba ushirikiano wa chuo kizima ili tukomeshe hii hali