Ni muda gani TCU wataanza maonesho Ubungo Plaza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni muda gani TCU wataanza maonesho Ubungo Plaza?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hmaster, Apr 27, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari za asubuhi. Nafahamu ya kwamba leo ndo siku ambayo TCU wataanza kufanya mkutano pale U/Plaza ila sijajua utaanza saa ngapi na ni hadi saa ngapi? Mwenye kujua tafadhali anijuze nataka kuhudhuria!
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tunaomba kujua mikutano hiyo au maonyesho hayo yanahusu nini?tupe agenda man!umetuacha hewani
   
Loading...