wahadhiri UDOM vip..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wahadhiri UDOM vip..?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Dume la Nyani, Apr 23, 2011.

 1. Dume la Nyani

  Dume la Nyani Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumekuwa tukisikia umoja wa wahadhiri udsm wakiandaa makongamano muhimu yanayo husu ukusanyaji wa maoni kuhusu katba mpya,bt kinachonisikitisha hawa wasomi wetu wa udom wamekaa kimyaaa...nn maana ya kuwa msomi ikiwa unashindwa kuisaidia jamiii yako..?
   
 2. k

  kalechee Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumia akili wewe,kila chuo kikianzisha itakuaje ?waache udsm wa-coordinate the whole thing
   
 3. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Yawezekana ikawa kweli kwamba hawajawahi kuandaa discussion ya issue yoyote muhimu ya kitaifa. Hiyo ya katiba tayari UDASA wameisha i-handle tena kwa ufanisi mkubwa. Yawapasa wasomi wa UDOM kujipanga ili kutetea na kuzilinda PHD zao.
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  sua, mzumbe, ardhi.......!!!!
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  MAKUMIRA HKMU, KCMC, Bugando MUHAS...
   
 6. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante kwa kunifungua macho...kwa kweli hawa wahadhiri wa udom wapo kimya sana....daz it mean dat wana jambo ambalo wengine hatujui?au labda tuwaulize wanachuo wa udom,hapa natoka kumuuliza mama yangu mzazi anasoma udom anajibu,"sijawahi kusikia...sijui.."kwahiyo nashindwa kuelewa...
   
 7. I

  Ilonza Senior Member

  #7
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanamuogopa mracha asiwafukuze kazi.
   
Loading...