Nimechoka

Nimechoka

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
160
Hivi majibu ya kidato cha sita 2011 yanatoka lini?nimechoka kusubiri,Mwenye kujua anijuze!
 
Endelea kusubiri ndugu yangu kwani baraza bado linashughulika yasije yakawa yaleyale kama ya kidato cha nne.
 
Back
Top Bottom