Ubabaishaji Urambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubabaishaji Urambo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MotoYaMbongo, Apr 25, 2011.

 1. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Tamisemi Wamulike ubabaishaji mkubwa unaofanywa na watendaji idara ya elimu upande wa Sekondari wilayani Urambo, Walimu wa sekondari Urambo hawapandishwi madaraja, toka walioajiriwa mwaka 2004 hadi leo 2011 wapo wengi tu hawajapandishwa madaraja, watendaji wa elimu kazi yao ni vikao, semina, na safari zisizokwisha, Afisa Elimu wa wilaya anayeitwa Mzungu huyu jamaa anadharau sana walimu, ana lugha chafu sana, amesababisha walimu walioenda kusoma kutorudi Urambo baada ya kuhitimu masomo kwa sababu ni mnyanyasaji sana, hivyo Mheshimiwa Sitta fuatilia jimbo lako hali ni mbaya sana, ama sivyo walimu wa sekondari walio masomoni hawatarudi kufanya kazi jimboni kwako, ufisadi unatisha halmashauri ya Urambo upande wa Elimu Sekondari, nawasilisha waungwana.
   
Loading...