List ya mafisadi UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

List ya mafisadi UDOM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by namboyo, Apr 23, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. n

  namboyo Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika katiba ya jumhuri ya muungano ya tanzani kila mtu ana haki ya kulinda mali za jamii .viongozi wa serekali ya wanafunzi wamevunja katiba.wametumia pesa vibaya .wafuatao ni mafisadi 1saimoni baisi 2 Ruta fredrik 3 MTINANGE 4 CHARSE 5 KISAUTI 6 NICOLAS MMANYI.HAWA WAMESHIRIKIANA KUIBA PESA ZA WANAFUNZI CHUO CHA DODOMA
   
 2. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Umejuaje!?
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280
  wameshirikiana na nani?na hizo pesa zilikuwa zinahifadhiwa na nani?
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hii imekaa kiuanafunzi uanafunzi, too soft!
   
 5. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wameiba sh. Ngapi na accnunt imebaki na sh. Ngapi? Je Mmewachukulia hatua gani baada ya kudhibitisha kwamba wameiba..
   
 6. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tamko hili ni lako binafsi au ni tamko la wanachuo?Kama ni lako binafsi una uhakikia na hilo swala?na kama ni tamko la wanachuo conclusion ni ipi?tufafanulie zaidi basi.
   
 7. M

  Mtemakuni JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kakae chini, utulie then uiandike vizuri ili iwe na mashiko okay....!!!
   
 8. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wameiba sh. Ngapi na accnunt imebaki na sh. Ngapi? Je Mmewachukulia hatua gani baada ya kudhibitisha kwamba wameiba..
   
 9. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kubwa lao ni Professa Mlacha, hao wanafunzi ni vifisadi vidogo vidogo.
   
 10. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 482
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  ungeweka data vizuri ingekaa poa, wamechukua katika mazingira yepi na sh ngapi umejuaje etc
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  waaache waiba mana mana kirefu cha abbreviation ya neno la chama ni chukua chako mapema
   
 12. e

  erneus kyambo Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nachangia nikiwa kama mmoja wa viongozi wa udoso,hawa wameshiriki ubadhirifu wa zaidi ya milioni ishirini(20 mil.),vinara wakuu ni rais na waziri mkuu wake
   
 13. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unajua top leadership ya nchi ikishaoza basi kila mahali panaoza. Haya ni matokeo ya top leadership iliyo oza.Nani sasa atamfunga paka kengele?
   
 14. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Chuo hicho hakina Bunge la wanachuo? Kama lipo wangeitisha kikao cha dharura na kujadili issue hiyo inayogusa umoja wao.
   
 15. Dume la Nyani

  Dume la Nyani Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapelekeni kisutu....pamoja na wake zao...!
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Tupe vithibitisho sio kuorodhesha tu........................
   
 17. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bila shaka hawa wote watakuwa vijana wa MAGAMBA...:croc:
   
 18. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hivi huko makanisani wanaenda kufanya nini? mbona kila siku wanaiba tu. miaka 50 sasa wako madarakani kazi yao ni kuiba tu. UDOM wanaiba, UDSM hivyohivyo, SUA, Mzumbe nk. I'm tired with this stupid.
  hawa watu hawana ubinadamu hata kidogo. sijui ni watu waaina gani. yaani mimi nachukia kila siku ninapoona hivi. mbona kuna watu wengi tu tena wachamngu wanaweza ongoza. What is the problem with you pipo?
   
 19. W

  We can JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Je, uko mwaka wa kwanza? Mbona thread haina mshiko? Huu ni uwanja wa Great Thinkers siyo sehemu ya Umbeya hapa. Usipo toa evidence, basi wewe ndo fisadi.
   
 20. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #20
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  imekaa kiumbea zaidi
  siamini kama kweli thread hii imeanzishwa na msomi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...