Kitabu cha database | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu cha database

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kamikaze, Sep 20, 2011.

 1. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Natumai wote mu wazima, samahani nahitaji kujua tittle ya kitabu kizuri cha kutengeneza database kwa kutumia SQL kwa beginners, yaani kwa mtu ambae hajui a wala b ya kudesign database kwa kutumia sql, nitafurahi sana mkinisaidia majina ya hivyo vitabu kwa beginners
   
 2. Einstein

  Einstein Senior Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  1. Database System Concepts by, Abraham Silberschatz, Henry F. Korth and S. Sudarshan Sixth Edition McGRAW Hill International Edition
  2. SQL,PL/SQL The Programming Language of Oracle by Ivan Bayross.. BPB Publications

  Ni vizuri ukaanza na kitabu cha kwanza kabla ya kwenda hicho cha pili, ila si lazima ukimalize cha kwanza chote ndo uende cha pili, kuna baadhi ya chapter mhim kwa ajili ya kupata insight ya Database design na vitu vya ER diagrams etc ndo uweze kuingia kitabu cha pili.. Cha kwanza kinakupa mwangaza wa Database Models na Concept nyingine nyingi za jinsi ya kutengeneza Database.. (Database Design).. Cha pili kimejikita kwenye practical zaidi.. All the best
   
 3. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Nashukuru sana mkuu
   
Loading...