QT / Reseaters bongo Online.

Sep 14, 2011
36
5
Hivi kwa nn usingekuwepo utaratibu wa kureseat hz paper online hili hawa ndugu zetu wa Makazini wapunguziwe mzigo!
me nahisi wabongo tukishirikiana inawezekana km jamiiforum, michuzi, jigambeads, zoomtz na wengine wengi jinsi walivyoumiza kichwa na kuturahisishia maisha watanzania wa .com
 

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
hata mm naona ingekuwa hivyo ingetusaidia sana ss watu wamakazini tunaotaka kusoma kwani wataalamu hatuna?
 
Sep 14, 2011
36
5
Unajua watanzania wangapi wana acces internet?.
upo uwezekano wa kuintegrate system mbili pamoja ambapo hata wale wa vijijini wakatumia njia ya kawaida na informations zikaingia ndani ya net na waliotown ni option kutumia njia moja wapo,ingawa ni issue kubwa lkn ni endelevu,kwani mwana wa jamiiforum pamoja na hawa washikaji wa jigambeads hawawezi create system km hiyo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom