Elimu ndio kila kitu.....!!!

rbsharia

Member
Sep 14, 2011
41
6
Kila tukilala, Elimu.
Kila tukiamka, Elimu.
Namna ya kuishi, Elimu.
Kufanya biashara, Elimu
Kila tunachofanya, Elimu.

Jamani, ni wazi kuwa kila siku za maisha yetu inabidi tuwaze Elimu sababu kwa tulipofika tunahita elimu bora ili tufikie malengo.
Ninapozungumzia elimu simaanishi kukaa darasani na kupata cheti tu, hata kushauriana na kupeana mawazo mapya kuhusu jinsi ya kujiinua kiuchumu ni elimu tosha.

Mi naona ni muhimu kujizoesha kujifunza vitu vipya kila siku, iwe kutoka darasani au mtaani bora tu viwe na manufaa kwetu na kwa Nchi Yetu.
AU MNASEMAJE?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom