Naomba ushauri great thinkers

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
117
nataka nifundishe mwaka mmoja tu then baada ya hapo niende kusoma university for degree programmes! ninatakiwa nifanyeje wana jf ili wasisimamishe mshahara?

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,693
1,243

nitamuanzaje huyu jamaa ili anielewe?

watumie watu wa karibu nae,sitaki kuamini kama kwel wew ni mtz tena eductd afu unavunga hujui kutoa rushwa kwnye nchi hii inayoendeshwa kirushwa rushwa

Shamge

Member
Sep 4, 2011
21
0
Kwanza wewe utafanya/ unafanya kazi wizara gani? na umepangwa wilaya gani? kuwa muwazi vizuri ili tukupe michakato ya utanzania!!!
Hilo swala lako kwa nchi kama ya kwetu huwa haliwezi kuwasumbua greater thinkers

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
67
ongea vizuri na afisa elimu wako,ikiwezekana mshike mkono!

Kihalali huruhusiwi mpaka afta 2 yrz!

Acha kuendekeza ufisadi, amshike mkono kivipi? huyo bwana afanye kazi mwaka mmoja halafu aombe kuingizwa kwenye mpango wa kwenda kusoma ili mwaka unao fuata aombe ruhusa, hakuna njia ya mkato hapo, au kama yupo sehemu karibu na university, akasome evining programmes, zinatolewa sijajua vyuo vingine, pale udsm zipo

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
67

watumie watu wa karibu nae,sitaki kuamini kama kwel wew ni mtz tena eductd afu unavunga hujui kutoa rushwa kwnye nchi hii inayoendeshwa kirushwa rushwa

hivi kwa nini mnahubiri rushwa? tusiundekeze mchezo huu jamani, tutsliua taifa

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,974
1,640
Kawasemelee kwa Pinda coz ni juzi tu ametoka kuwaambia wawaruhusu watendaji wao waende kusoma. Aliyasema hayo wakati akifungua OUT pale Sumbawanga.

Hata ukienda kumuona pinda haitasaidia hapo maana sheria ziko wazi, na usikute ofisi hiyo ina tatizo la walimu. Hapo ni lazima awe mpole au atumie hiyo njia ya 'kumshika mkono' mkuu wake. anatakiwa aongee vizuri ili apewe ruhusa ya kwenda shule vinginevyo kwisheny

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,929
2,038

watumie watu wa karibu nae,sitaki kuamini kama kwel wew ni mtz tena eductd afu unavunga hujui kutoa rushwa kwnye nchi hii inayoendeshwa kirushwa rushwa
Aje kwangu anishike mkono, nitaugandisha hapo hapo mpaka Wadogo zake Hosea waje. Hakuna shortcut najua wewe ni Mwalimu, subiri upangiwe kituo, karipoti mapema, chukua hela ya kujikimu ya siku 7 zako, jaza mikataba ya ajira, subiri namba yako ya ajira (TSD), kaa mwaka mmoja kaulizie barua yako ya confirmation, malizia mwaka wa pili fuata taratibu za kawaida za kuomba ruhusa utapata tu bila shaka. Usithubutu kutoroka hata siku moja kwani utafunguliwa mashtaka na kusimamishiwa mshahara wako.

Hope umenielewa sana mdogo wangu.
Kila la heri

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,929
2,038

hivi kwa nini mnahubiri rushwa? tusiundekeze mchezo huu jamani, tutsliua taifa
Halafu tukisimama hadhari tunajifanya kulaumu ufisadi, nina mashaka kizazi kijacho kitakuwa corrupt kuliko hiki cha sasa

0 Reactions
Reply
Top Bottom