Wakulaumiwa ni nani?


M

mfundishi

Member
Joined
Aug 27, 2008
Messages
29
Likes
0
Points
3
M

mfundishi

Member
Joined Aug 27, 2008
29 0 3
Gazeti la Mwananchi leo lina habari isomekayo Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, Dk Shukuru Kawambwawa, amesema walimu nchini wangekuwa wanatumia nguvu kubwa wanayotumia hivi sasa kudai posho na malimbikizo yao, wangeitumia madarasani matokeo mabaya yangekuwa ni historia. Wakulaumiwa hapo ni nani?
 

Forum statistics

Threads 1,237,958
Members 475,776
Posts 29,307,891