CV ya watoto wa Massaburi

kibenya

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
383
134
wadau mwenye cv ya watoto wa massaburi,deograius massaburi na john massaburi aimwage hapa maana hawa watoto eti wanafundisha kwenye chuo chake kiitwacho instistute of procurement and supply-chanika ngazi ya certificate na diploma .
 
lengo langu ni kufahamu cv zao kama zinasupport wanachokifanya na si mengine
 
Hii JF wakati mwengine ni kama Majungu Forum!!

Nilikuwa napita tu Wakuu!
huo ni mtazamo wako jibuni hoja iliyopo kwa mfano baba yako anamiliki shule na wewe kama mtoto uende kufundisha na wakati huna sifa watu wakiomba cv yako ni majungu? au ndo nafasi nzuri kwako ya kudhihilisha uwezo wako kwa unachokifanya
kama mnazo cv zao ziwekeni wazi msiwatetee
 
sasa kama wanafundisha unataka nini?yaani ni sawa na kutaka CV ya mtu wakati anauza duka la babake

Duka la baba yake? Wana sifa ya kufundisha katika chuo kama hicho au kwa sababu ni cha baba yake? Mgongani wa kimaslahi lazima utakuwepo, kwa sababu hata kama hawana sifa kuna uwezekano wa kupewa nafasi ya kufundisha bila kuwa na sifa. Afadhali wangefanya kazi nyingine kama ya ulinzi na upishi hapo chuoni, kazi ambazo zisingesababisha athari ya moja kwa moja kwa wanachuo.
 
Msaidieni jamani anachoomba mbona cha msingi tu kwa maslai ya wadogo zetu pale chuoni,wangekuwa viongozi wa hicho chuo asingeomba cv cos wanaongoza chuo chao ila suala linahusu taalum
 
Asante angalau nimejuwa kuna institute ya procurement chanika.. Hapo nikwenda tu cheti mteremko hamna kufeli
 
kama kuna mtu anawafahamu au kama wao wanatembelea humu jF wajibu hiyo hoja! nadhani is not a big deal!
 
Google utapata maana CV ya mtu ni personal document yake unless otherwise kwa wanasiasa, wakuu wa mashirika nk lakini hata wewe hapo kuna mtu ana CV yako humu?? Au unatafuta ujibiwe vibaya useme watu wanajibu vibaya.

Na kama umejua wako hapo Chanika why don't take effort ya kufatilia hapo au hawana hata website? Maswali mengine upuuzi mtupu
 
Duka la baba yake? Wana sifa ya kufundisha katika chuo kama hicho au kwa sababu ni cha baba yake? Mgongani wa kimaslahi lazima utakuwepo, kwa sababu hata kama hawana sifa kuna uwezekano wa kupewa nafasi ya kufundisha bila kuwa na sifa. Afadhali wangefanya kazi nyingine kama ya ulinzi na upishi hapo chuoni, kazi ambazo zisingesababisha athari ya moja kwa moja kwa wanachuo.

Ulitaka watoto wake wapate shida ya ajira na wakati baba yao anaweza kuwaajiri? Mnacheza kweli nyie watu wawe na sifa wasiwe nazo wanakula kuku nyie mnapiga kelele hapa im out
 
Jamani cv kuitoa kuna shida gani? nyie acheni kutetea ujinga cv ni muhimu tuzijue kwani tuna vihiyo wengi wanaturudisha nyuma
 
hizo cv zao we wazitaka za nin sasa? Hebu acha wivu wa kipuuzi na wa wazi wazi, wale wanafundisha chuo cha baba yao, ni mali yao!
 
Sasa ujumbe wako una uhusiano gani na siasa.Au unataka CV za siasa ?
 
Sasa ujumbe wako una uhusiano gani na siasa.Au unataka CV za siasa ?
ujumbe una uhusiano na siasa,kwa vile unamgusa mwanasiasa moja kwa moja na nadhani siasa ndo kama ngao yake kuendesha cha massaburi na bendera ya chama cha magamba inapepea pale sasa kwanini siasa isiingie?
 
Kama ni akufunzi wa chuo ni muhimi watu kujua CV zao ili hata kama unaenda kusoma pale ujue mapema unaenda kufundishwa na watu wenye sifa gani. Hivi hicho chuo hakina Prospectus?
 
Ok, mimi siwajui kwa majina lakini yupo ambaye alisoma hapo hapo kisha akafanya mitahani fulani hivi inatolewa na chuo kimoja ulaya online kwa level fualni hivi ndio akabaki pale pale, mwingine alisoma hapo na ndio mwaka jana august kama sikosei ndio na yeye alikuwa afanye mitahni hiyo ila sikupata tena taarifa zao maana waliingia kwenye Campaign za baba yao, hata hivyo, hawa-qualify kufundisha pale chuoni, nina uhakika na ninachokiongea; nimesha evaluate teaching yao na mitihani ya vijana hawa wanayowapa wanavyuo pale, ni chini ya kiwango ( kumbuka mimi ni mwalimu by proffession na curriculum developer)

Hawastahili, hawana teaching skills, limited knowledge on subject matter and zero interraction na wanafunzi wao zaidi ya NGONO tena rushwa ya ngono (hili nalo naliongea kwa nguvu maana nina uhakika wa ninachosema) ingawa si mmoja wa wale walichangia hadi wakagoma mwaka juzi juzi hapa wakidai kuwa walimu wanawataka kingono ili wafaulu. Ninazo evidence. tena nashindwa kuendelea maana nitakufuru......
 
Back
Top Bottom