Kila kitu wanaume tuuu, bado wanadai haki sawa.

Mkillindy

Member
Sep 14, 2011
37
4
Huwa yanikera sana kuona mwanamke mjamzito anasaidiwa na Doctor wakati wa kujifungua.
Hv ni kwamba hamna madaktari wa kike au ni nn?
Kwa nn wanawake wanadai haki sawa km suala hilo wanashindwa kulitatua?
Unawashauri nn hawa kina dada? Waanze kujipanga na hili kwanza au wang'ang'anie usawa wa kuingia madarakani?
Kazi kweni wakubwa,washaurini ili mradi liwafikie hawo kina dada'z.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom