Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Download waraka huu wa serikali (WARAKA WA ELIMU NA. 5 WA MWAKA 2012 KUHUSU MAREKEBISHO YA MIHULA YA SHULE ZA SEKONDARI NA VYUO VYA UALIMU)
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wapendwa wanaudom msifadhaike kufuata laptop mjini na maeneo mengine; laptops zinapatikana pale chuoni kwa bei nafuu kuliko maeneo mengine nje ya chuo :Ni nzuri na za viwango vya juu 'narudia tena...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anayee fahamu kiasi cha pesa zinazo hitajika kwenye stationary expenses kwa wale baf takers anisaidie!!!!!!!!!!thanx in advance!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je,fedha za field ni sawa kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu mwaka huu? Au inaendana na asilimia uliyopata kutoka HESLB? Kwa mfano kuna watu wamepewa Tsh 2,400,000/= halafu boom na vitabu ni 2m,ada...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Pamoja na kuwa na fani nyingine,natamani kujifunza namna ya kutengeneza photocopy machine ipatapo matatizo,pamoja na printer.naomba kujuzwa kama kunasehemu wanafundisha mantainance za hiv vitu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hatimae wenze2 kenya baada ya mgomo wa walimu 3wks mfululizo malalamiko yao yatatuliwa,madai yao ilikua nkutaka nyongeza had kufkia 300%na serikal imeafik,tz hata hiyo 100 imeshndikana...bora...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ningependa kujua kama 1st year wa LLB huwa wanakwenda field.Naombeni msaada wenu jamani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS (To be conducted in Dar es Salaam) The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences of the University of Dodoma is...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Hi JF! wandugu nina mdogo wangu kachaguliwa kwenda Tandabui Health Institute kusomea Health Records Financial and Information Management, napenda kufahamishwa je amalizapo kozi hii atafanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
fuata hatua zifuatazo .1. take your shoe size. 2.multply it by 5. 3. add 50. 4 multiply by 20. 5. add 1012. 6. subtract the year you were born RESULT. the first digit is is your shoes size while...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni kwa kusubiria ripoti ya jana kutoka kwa mdodosaji, naombeni jukwaa nami niwasilishe hoja... Kwa wale mliokosa mkopo ishu ni kwamba kwa majibu mepesi niliyopewa pale reception ni hivii...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi Ndo Ninaenda Kujiunga Na Chuo Kik8,udsm Mwaka Huu.kuna Rafiki Yangu M1 Ameniambia Kwamba Eti, Kabla Ya Mambo Yote Kuna Form Nyingne Inapaswa 2download Kutoka Kwenya Website Ya Chuo ambayo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna walimu wamepinda hebu msikieni huyu worst professor ever - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuseme nina cut-off points za chuo X, na kozi ninayoipenda inatolewa chuo X tu. Sasa kukwepa ushindani wa kuwa admitted kwenye kozi hiyo kupitia TCU nimeamua ku-apply moja kwa moja moja chuoni...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Habari zenu jf pipo? Mi nimechaguliwa kujiunga na chuo hiki,nimechukua joining instruction na nimeona structure nzima ya ada,ambayo ni: -caution money 30,000 -student organisation 10,000...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
HABARI WANA JF, KWANZA KABISA NATANGULIZA POLE SANA KWA WALIOKOSA MIKOPO WASIKATE TAMAA PIA NAWAPA HONGERA WALIOFANIKIWA KUPATA NAWASHAURI WAKASOME KWA BIDII. MIMI NIMEJARIBU...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu bhanah.. Ningependa kupata uchangaunuzi kuhusu suala la Medical Capitation fee(100000) ambalo lipo kwenye list ya Direct costs na suala la kujiunga na National Health insurance fund...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
jaman kwa wale wanaojua matokeo ya clinical officer yanatoka lini anijulishe. Kwan cku zinaenda 2naona wizara ya afya ipo kmya. Km unafunu niambie.
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Habar zenu wana jamvi?Hali ya kiuchum ya watanzania wengi inafanana,hasa ya ya wale angalau walisoma angalau shule moja ya goverment na binafs(private),matajir wa tanzania wanatambulika na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ushauri juu ya hili, mimi nimechaguliwa Bachelor of Arts in Public relations and Advertising pale UDSM ila sasa baada ya muda nimeshauriwa na watu wa nyumbani ni badili nichukue...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom