SOLUTION:Button kadhaa za keyboard ya laptop hazifanyi kazi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SOLUTION:Button kadhaa za keyboard ya laptop hazifanyi kazi!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by michosho, Oct 9, 2012.

 1. michosho

  michosho JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 454
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  Wadua naombeni msaada,kwani laptop yangu button tatu zimegoma kabisa kufanya kazi.Nimesafisha kwa sprit baada ya kufungua lakini bado tatizo liko palepale..Pls,naombeni msaada,huenda kukawa na njia nyingine ya kufanya tatizo langu likaisha.
  Thanks
   
Loading...