Je kuna kuna mwachuo aliyechaguliwa pasipo ombi lake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna kuna mwachuo aliyechaguliwa pasipo ombi lake?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbori, Oct 9, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,734
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Katika kuongea na wadogo zangu kilimu nimepata kusikia mhitimu mmoja wa Kidato cha Sita akiilalamikia TCU kwa kumpeleka chuo na programu asiyopendekeza. Amedai ya kwamba amechaguliwa UDSM kusoma Sheria ilihali hajaomba kusoma Sheria katika Chuo chochote kile, pia hajaomba kusoma chochote UDSM.
  Pia amedai ya kwamba kuna rafiki yake amechaguliwa IFM kusoma Computer ilihali hajasoma masomo ya Sayansi, yeye amsoma HGK.
  Naomba kuuliza, je kuna mtu aliyechaguliwa kusoma chuo na kozi isiyo chaguo lake?
   
 2. S

  Suleiman Kinunda Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapo tena wengi tu hamna mtu aliyeomba course ya computer science ifm ila wamechaguliwa zaidi ya 300 kwani kwenye guide book hakukuwa na course hiyo
   
Loading...