Viongozi: Wa serikali na wanaharakati wa "ukombozi" ktk nchi zao enzi zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi: Wa serikali na wanaharakati wa "ukombozi" ktk nchi zao enzi zetu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Thanda, Oct 9, 2012.

 1. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wadau, NINGEPENDA TUWAKUMBUKE viongozi wa dunia waliowahi kutamba enzi zao, ubabe wao na ukatili wao usio wa lazima katika jamii zao, wanaharakati wa masuala mbalimbali ya kimaendeleo, katika elimu, siasa pamoja na nyanja nyingine. Pia wasomi waliotingisha pamoja na wale walio hai. Hii ni kujikumbusha kwani elimu ni kuhamisha ulichonacho na kumpatia mwenzio.

  Mimi naanza na 1. Rolihlahla Mandela Madiba, jina lake la kuzaliwa (Afrika ya Kusini) (Huyu ndiye Nelson Mandela) na Kamau wa Ngengi (jina lake la kuzaliwa) (Rep. of Kenya) aliyejulikana pia kwa majina haya John Peter, na baadaye Johnstone Kamau (Huyu ndiye Jomo Kenyata)

  Tunaweza kujikumbusha wengine kwa pamoja......
   
Loading...