Yah:kuhama chuo

ng'abo bznec

Member
Oct 5, 2012
12
2
Sorr ndugu kwa kuwasumbua,mm nmechaguliwa jokuco-bukoba na home n tanga.Nataka kuhama cz swez kumudu gharama&mwanzon ckujua km chuo 2naruhusiwa kuhama...wanajukwaa nsaidien mawazo km naweza kuhama kwa mda huu au ndo nmechelewa
NAWASILISHA MBELE YA NENO AMANI
 
NO USIANZIE TCU,
1. Nenda ktk chuo unachotaka kuhamia,
2. Onana na head of department wa course unataka kusoma katika hicho chuo.
3. Mueleze shida yako , kama bado kuna nafasi akupe barua ai-address kwa mkuu wa TCU kumwambia nafasi umepata.
4. Peleka hiyo barua TCU, utapewa maelekezo ya lini ukacheki majibu.
5. Fuatilia majibu TCU na upeleke hapo chuoni uanze registration process.

NB: kuhusu LOAN sijui utafanyaje, may be utauliza hapo TCU.

KILA LA KHERI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom