hapana mimi nakataa according to heslb ni kuwa yeyote ambaye hajafurahishwa na matokeo yake nikimanisha aliepata kidogo na hata yule aliekosa pia
Inafunguka lakini inaonekana bado haijaanza kufanya kazi vizuri.
Tuendelee kuvuta subira inaweza leo kufanya kazi rasmi.]mie mwenyewe inaniandiki data base error occured cod number 1146