Mwalimu mkuu atia doa papper la 4m4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu mkuu atia doa papper la 4m4

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by EMMANOS, Oct 8, 2012.

 1. E

  EMMANOS Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwalimu mkuu wa shule ya secondary inayo itwa seek Mkoani shinyanga wilayani kahama ashutumiwa kuwa beba kinyamera wanafunzi wa patao 100 tangu wakiwa 4m1 mpaka 4m4 bila ya kuwa na usajili
  unao tambaulikana na serikali matokeo yake leo hiii wanafunzi hao wame zuiliwa kufanya mtihani huo wakidato cha nne!!!!!!!!!!!!.
  Swli je ninani wakulaumiwa? mwalimu au serikali?ina maana ada zao za miaka yote hiyo zilikuwa zina kwenda wapi? kama kweli walikuwa wame sajiliwa kinyamela? na je shule za secondali huwa hazina wakaguzi? mpaka leo hii hao wakagzi ndio wali gundue? yangu ni hayo wana jf ndio yanayo niumiza kichwa.!!!?
   
 2. s

  sky_haf JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni rushwa iyo, tz kama haikupangwa mikakat mizur ya kuzuia rushwa vtendo kama ivo vtaendelea tu.
   
 3. J

  John waryoba Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali iache kuwachezea watanzania,walikuwa wapi muda wote kutoa taarifa?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,894
  Trophy Points: 280
  kwani alivyofuatilia kwa nini hawakupewa namba?
   
 5. J

  John waryoba Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali iache kuwachezea watanzania,walikuwa wapi muda wote kutoa taarifa?
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kwa uandishi huu? Tuna kazi kubwa sana.
   
Loading...