Msaada wana jf kwa sisi ambao majina hayapo kwenye vyuo tulivyochaguliwa na tcu tunafanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wana jf kwa sisi ambao majina hayapo kwenye vyuo tulivyochaguliwa na tcu tunafanyaje?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MKUTANI, Oct 8, 2012.

 1. M

  MKUTANI Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naombeni msaada nilichaguliwa duce nimeenda duce jina halionekani wakaniambia niende udsm nimeenda nako jina halipo nimeenda tcu mpaka leo wanasema watatoa majina kwenye mtandao sasa hata sielewi nifanyaje.
   
Loading...