Kwa 2liokosa mkopo

Geezzle

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
849
267
Nikiwa km mmojapo wa wahanga wa kukosa mkopo,natoa rai kwa mamia ya wenzangu kuwa,kwanza 2ukubal ukwel il kuipa akil mwanya kufkiria mbadala wa kufanya!,mwsho mwombe Mwenyez kwa dhat akujalie moyo,nguvu na akil ya kukabiliana na hali ngumu ilyo mbele yako ktk kpnd hch kigum.Mwenyez hatatuacha kabsa wakuu.AMINA
 
Back
Top Bottom