Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo elim ya juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Simolunda, Oct 10, 2012.

 1. S

  Simolunda JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 447
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Samahani wana jf kwa yeyote alieskia au tetesi kuhusu wale ndugu zetu waliokosa mkopo mwaka jana na mwaka huu wameomba tena lakin mpaka leo hakijaeleweka wanatoa majibu lini?maana vyuo ndo vishafungua wao wapo kimya tu
   
Loading...