Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nina mdogo wangu nataka kumsaidia asome ufundi, lakini nikimtazama umbile lake, urembo wake nashindwa kumtaftia nini cha kusoma. Angekuwa wa kiume ningempeleka VETA Shiyanga asome iether machine...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam wajuzi wa mambo. Nimemaliza kidato cha nne, nina kiswahili C, English C, chemst D, biology C. mengine nimefeli yaani F. Lakini natamani kuwa hakimu, naomba kuuliza kwa ufaulu huu naweza...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Tabora, kuna hoja naomba nishee na Wana JF, ipo hivi, Watoto ambao wanasoma Shule ya Sekondari Sikanda kama akichelewa kuripoi hata kama ni siku moja tu, mzazi wake anatakiwa...
2 Reactions
4 Replies
571 Views
Baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto zimekuwa Mzigo kwa jamii kwani Bado shule hizo Mfano wana waagiza wanafunzi Review ( rejea)za masomo kitu ambacho rejea hizo zilipigwa marufuku...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Habari wakuu, Nimekuwa nqjitahidi kuomba scholarship za nje, master's degree, lakin nakosa toka mwaka juzi. Niliomba Pan African, Korea, na UK. This time nimeomba Pan African, na kwa wiki hii...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwa watumishi wa Afya mnaojua naombeni msaada.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka? Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Niko nimekaa na dogo hapa namhoji kidogo habari za chuo na maendeleo yake! Yeye anasoma UDSM college moja iv ya science. Dogo ananiambia et wenyewe hata usipo fikisha course work ilifika UE...
0 Reactions
8 Replies
977 Views
Habari za midahii wana jf.Mimi kama mtanzania ningependa kufahamu mchiyetu ina majiji mangapi kwani paka sasa nasikia ni matano, nayo ni Dar es salaam,Mwanza,Tanga,Arusha na Mbeya. Je ni vigezo...
0 Reactions
19 Replies
53K Views
Habari za wakati huu wakuu, Nina Mdogo wangu Amemaliza certificate ya Ualimu Tabora Teachers college Grade A , ila Nilitaka ajiendeleze apate Diploma Ila kwa bahati mbaya sijapata chuo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kupata $1 mpaka $5 kwa siku Ni rahisi ukijifunza hizi skills 1. Audience building 2. Copywriting 3. Sales & Closing 4. Offer creation 5. Affiliate marketing 6. Content creation 7. WhatsApp...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Anonymous
Kuna Chuo kinaitwa Blue Pharmacy College of Health kipo Singida Mjini mbele ya Serengeti Pub kina hosteli za Wadada zipo opposite na Cheyo Lodge. Concern yangu ni hizo hosteli zipo kwenye danguro...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Tatizo la ukosefu wa ajira limekuwa ni kilio kwa vijana walio wengi, ambapo takwimu zinaonyesha kuwa ni asilimia kumi 10% tu ya wahitimu huweza kupata ajira rasmi kila mwaka. Huku asilimia 90%...
1 Reactions
9 Replies
721 Views
Habari zenu wakuu, Kama post inavyoeleza hapo juu. Nimepost hapa kutafuta watu ambao nitashirikiana nao kuendesha chuo changu. Chuo kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri sana. Nimepost hapa...
0 Reactions
2 Replies
423 Views
Population iliolezewa like naona ingetakiwa kuwa update na kuwekwa namba halisi iliopo sasa,mana imeelezewa kuwa chuo kingekua at full capacity after 2020 lakin sasa tuko 4 years after 2020, hii...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Habari, Naomba kama kuna mdau ana-softcopy ya tamthiliya ya ORODHA anisaidie kunitumia hata kwa kuiweka hapa jukwaani, ni hilo tu muwe na mapumziko mema ya mwisho wa wiki.
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Habari Kama kuna aliyefanikiwa kujaza hizi form (self form) za kidato cha nne kwaajili ya uchaguzi wa kidato cha tano, kupitia tamisemi (selform.tamisemi.go.tz), naomba anipe muongozo au mwenye...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Anonymous
Habari, Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha dodoma (UDOM) ndaki ya kompyuta na elimu angavu (CIVE). Hapa ndaki kwetu (College) kuna tatizo la maji sasa kufikia wiki ya pili maji hayajatoka tatizo...
1 Reactions
2 Replies
555 Views
Salaam Wakuu, Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau wapi naweza kupata notice za sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kulingana na mtahala (syllabus) za wizara ya elimu Tanzania. Wapi naweza kuzipakua (download) kwa ajili ya...
1 Reactions
2 Replies
989 Views
Back
Top Bottom