A
Anonymous
Guest
Shule ya sekondari BUJINGA iko Tukuyu mkoa wa Mbeya wazazi tumeambiwa tuanze kuchangia sh. 60000/= kwaajili ya kambi kidato cha nne..
Hii ililetwa kama agenda ktk kikao kilichoitishwa na walimu wito wa kuwaita wazazi Ili jambo hilo liridhiwe..
Ktk uhalisia imefanywa kama hiyari lkn ni kama kuna kulazimisha ndani yake kwani baadhi ya wanafunzi wanadai kuwa Wana hofu kwani mchango usipochangwa wataadhibiwa..
Ktk uhalisia wa maisha ya mwananchi wa kawaida sh. 60k ni kubwa na hawezi kumudu kuilipa, hivo swala hilo likemewe vikali na liondolewe kwenye ulazima na kuwa hiyari..
Pia wadau Hawa wa BUJINGA sekondari wakajifunze UKUKWE SEKONDARI maana wanaitoa huduma hii ya kambi KWA gharama nafuu Sana, Jambo ambalo linaonesha kuwa walimu Wana nia ya kusaidia..
Naamini nia yao kuweka kambi ni njema ila gharama ni kubwa KWA wazazi wanaoungaunga..
Nimeleta mkeka huu Ili kama zipo taasisi nyingine za kata zinatiza gharama kubwa zipate muda wa kujifunza KWA majirani kabla ya kupresent gharama walizokusudiaa...