Kuna mdogo wangu alisoma PCB form six akafaulu kwa div one.
Aliomba chuo mwaka jana course za afya lakini hakufanikiwa akadai ataenda chuo mwaka huu 2024/2025.
Mwaka huu anasema anataka akasome...
Jamani mimi kijana umri wangu miaka 26 niko Mbeya, elimu yangu ni degree niliyoipata katika chuo cha udom na fani niliyosomea ni ualimu kwa bahati mbaya sijaajiriwa lakini bado najitafuta.
Kwa...
SANAA YA MUZIKI HAIPEWI NAFASI MASHULENI LIKIJA SUALA NZIMA LA UIPUAJI WA VIPAJI MASHULENI TOFAUTI NA ZAMANI..
Serikali imekuwa ikiimiza michezo mashuleni ili kuibua vipaji na kuendeleza ...
Hivi zile slides ambazo walimu vyuoni wanakimbizana kumaliza Kwa haraka huku wanafunzi wakishindana kukariri (Kuzima moto) zina Ufanisi wowote au tunazidi dumaza elimu yetu?
Chuo cha uhasibu Arusha (IAA) kimekuwa na gharama kubwa ya malipo ya Ada kulinganisha na vyuo vingine vya serikali pia mlipaji hapewe mchanganuo wa malipo hayo ya Ada.
Kiasi kilicho pelekea...
Chuo cha DMI (Dar es Salaam maritime institute) kuna changamoto wanafunzi tunapitia.
Watu wanalipa ada na pesa ya usajili ambayo kwenye iyo pesa ya usajili wamechanganua kua kuna kupatiwa ID...
Nakumbuka kila assignment tutakayopewa either iwe individual au group sisi tunatumia tu bot letu kwisha kazi hakuna cha kwenda library wala nini, kwnz hata discussion hakuna ni bot ty daaah hili...
Naomba msaada wa uelewa kwa wale wanafunzi walio hitimu vyuo vya kati ngazi za diploma na wakawa wamepata vyeti katika mfumo wa NON NTA.
Kwa maana nyingine walio soma certificate mwaka mmoja na...
Habari za wakati huu wana jamiiforum
Kuna ka swali hapa ka O level kana sumbua hivyo nataka kuwasirisha kwa watabe wa jamii forum ila niweze kupata solution yake
SWALI :
2^(8-x) = 8x
Yaani...
JamanI naomba ushauri Kati ya Chuo cha afya Lugalo na kibaha kipi kizuri zaidi cha kwenda make mdogo wang kapata hivyo vyote wamemuhita sasa kipi kizuri cha kwwnda?
Na je, ada zao zipo sawa ama...
Ninaomba mwenye uelewa wa shule nzuri kielimu kuanzia chekechea hadi msingi Ninaomba anijulishe,jina la shule ,gharama zake na hata namba za simu kwa jijini Mbeya Ninaomba anijuze...
Wataalam wa elimu hii division three au four? Kama ni division 3 ni division three ya ngapi?
Civics C pass
History C pass
Kiswahili C pass
Commerce C pass
English D pass
Biology D pass
Georgraphy...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB
MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA
WA MASOMO 2023/2024
MAELEKEZO...
Habari wakuu. Kijana wangu anaandika mtihani wa darasa la saba wiki ijayo.
Najaribu kutafuta na kulinganisha shule za sekondari kwa ajili yake. Anapenda sana masomo ya sayansi, hasa kwa vitendo...
Nina mdogo wangu nataka kumsaidia asome ufundi, lakini nikimtazama umbile lake, urembo wake nashindwa kumtaftia nini cha kusoma.
Angekuwa wa kiume ningempeleka VETA Shiyanga asome iether machine...
Salaam wajuzi wa mambo.
Nimemaliza kidato cha nne, nina kiswahili C, English C, chemst D, biology C. mengine nimefeli yaani F.
Lakini natamani kuwa hakimu, naomba kuuliza kwa ufaulu huu naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.