Tariq f
JF-Expert Member
- Dec 11, 2021
- 233
- 345
Habari wakuu,
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo X hapa jijini Dar Es Salaam, nikisomea degree ya Information Technology.
Kiukweli Information Technology maarufu kama IT ni Interesting Course, hii kutokana na wigo mpana wa Careers zinazoweza kupatikana kwenye Programme hii.
Kwa sasa nipo njia panda, kuhusu Career gani bora ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza nitoa kimaso maso hapa bongo, iwe kwa kujiajiri au kuajiriwa.
• Computer Security ( Cybersecurity)
• Graphic Design
• Web and mobile application development
• Computer Network
Kutokana na ukubwa wa Soko na jinsi soko lilivyo, je wakubwa mnaona ni upande gani sahihi wa mimi kujiandaa na kubase napo kutokana na Experiences zenu,
Msaada.
Shukrani