Ushauri kuhusu course ya radiology

Hasara zake kubwa ni kwamba unafanya kazi kwenye mitambo ya mionzi sasa naamini kuijua tu radiology unaelewa side effect za mionzi.
Kuna siku nilikua hospital ya General(Dodoma) jengo la X-RAY kulikua na dada alikua amesimama karibu na mlango wa kuingilia chumba cha iyo mshine akiwa amebeba mtoto mchanga.. Maneno na matusi aliopewa yalinibidi niingie google kuijua hii mionzi ingawa sio fani yangu kabisa.
Mengine google tu mkuu
Unachosema ni kweli maana mionz yake ni hatar sana
 
Sasa wew ushashauriwa kua iyo INA athqri ya mionz ukasomee ya nn ebu tafuta fan nyingine ili kulinda afya yako hiyo hata field tu haifai
 
Ni course ambayo dgree yake inatolewa muhas peke yake tz nzima na diploma yake muhas na bugando only.
diploma ni diagnostic radiography na inatolewa muhas na bugando na degree hamna tanzania...na hio degree ni radiation therapy technology ipo muhas wao wanatibu kwa kutumia mionzi..na ni course nzuri sana kwa diploma utafanya ultrasound na xray inategemea utaajiriwa kitengo gani...ajira zake bado zipo kibao kama unaweza kasome usiogope
 
Hasara zake kubwa ni kwamba unafanya kazi kwenye mitambo ya mionzi sasa naamini kuijua tu radiology unaelewa side effect za mionzi.
Kuna siku nilikua hospital ya General(Dodoma) jengo la X-RAY kulikua na dada alikua amesimama karibu na mlango wa kuingilia chumba cha iyo mshine akiwa amebeba mtoto mchanga.. Maneno na matusi aliopewa yalinibidi niingie google kuijua hii mionzi ingawa sio fani yangu kabisa.
Mengine google tu mkuu
Aliekwambia Radiology anasoma mionzi nani?
 
Nadhani mnachanganya mambo
Radiology ni masters ambayo anaweza kusoma mtu aliesoma MD na akawa specilist wa kutasfiri Radiology images

Radiology images zinatolewa na Radiology technicians au Radiographers ambayo kwa Tanzania kuna diploma tu

Radiography ni course nzuri na sio kweli una deal na mionzi direct,kwenye mionzi wew ni exposer tu na wala hauwi kwenye examination room
By the way teknolojia inakimbia sana hivyo radiographers wanazid kuwa watu muhimu na risk zinazid kupungua
 
diploma ni diagnostic radiography na inatolewa muhas na bugando na degree hamna tanzania...na hio degree ni radiation therapy technology ipo muhas wao wanatibu kwa kutumia mionzi..na ni course nzuri sana kwa diploma utafanya ultrasound na xray inategemea utaajiriwa kitengo gani...ajira zake bado zipo kibao kama unaweza kasome usiogope
Na mtu anaye takiwa kusoma diploma anatawa kua na ufaulu gani o level
 
A
diploma ni diagnostic radiography na inatolewa muhas na bugando na degree hamna tanzania...na hio degree ni radiation therapy technology ipo muhas wao wanatibu kwa kutumia mionzi..na ni course nzuri sana kwa diploma utafanya ultrasound na xray inategemea utaajiriwa kitengo gani...ajira zake bado zipo kibao kama unaweza kasome usiogope
Ada ni kiasi gani kwa muhas na cuhas
 
Back
Top Bottom