Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wakuu Nimekuja kwenu nikiamini hapa Kuna wataalamu Wana sayansi bomba wenye ujuzi na maarifa mengi Nilikua naomba ushauri kwenu nipo chuo na nimetumia muda mwingi kufanya tafiti na...
1 Reactions
1 Replies
407 Views
Huyu mdada maarufu kama wanavyowaita. Aunti nilishuhudia akimpa maneno makali bint mdg imeniuma sana ndio maana nimeileta hapa wahusika wafanyie Mimi mama edina sipendi kabisa hizi tabia.
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 27, mtoto wa Mkuu wa Kaya, Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam. Shule hiyo...
4 Reactions
126 Replies
33K Views
Binafsi nipongeze mabadiliko yaliyofanywa ya kuleta mkuu mpya wa shule ya Sekondari Nyiendo hapa Bunda.Ushauri wangu kwako naomba ujikite kwenye maeneo yafuatayo ill ufanikiwe 1.Epukana na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna wakati mwingine unaweza ukawa unaandika report na ukatakiwa kuweka citation na references. Lakini kwa kutokujua ukajikuta unaanza kufanya citation na references manually. Kwa dunia ya...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Salamu wapendwa Katika kitu ambacho nilikuwa natamani basi ni kuwa na kitabu changu (Ni passion yangu). Nime-plan kuandika vitabu kadhaa Kama reference kwa wanafunzi. Basi Kwenye hii likizo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwalimu mmoja anayefahamika kwa jina la Yusuph wa shule ya Msingi ZIGA ya mchepuo wa kingereza iliyopo katika mji wa Makambako wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe,anatuhumiwa na wazazi kwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nipo katika harakati za kutafuta shule kwa ajili ya kijana wangu anategemea kuanza darasa la kwanza hapo mwakani. Moja kati shule nilizozipendekeza ni hii st. Matthew. Nipeni muongozo. Kuna uzi...
0 Reactions
1 Replies
395 Views
Nimesoma bachelor ya geography and environmental studies Ud, kisha nikataka kuhamia education lkn sikuwa na taarifa sahihi nikasoma masters baada ya kumaliza nikaambiwa inabidi nisome postgraduate...
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Amani iwe nanyi want JF.. Naomba kueleweshwa nifanyeje ili kijana apate mafunzo ya urubani.Nasikia gharama ni kubwa sana.. je pana uwezekano wa kupata ufadhili wa serikali au shirika lolote ili...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
He ntachaguliwa chuo cha afya cha serikali? Chem C Bios C MathC physics D Je, na cozi gani inanifaaa?
1 Reactions
0 Replies
276 Views
Habari wadau wa JF, Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004 Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Serikali itusaidie wanafunzi wa CBE Campus ya dar tumejisajili diploma ya miaka mitatu lakini hadi sasa hatujaanza kusoma na tayari tumemaliza certificate lakini wanasema hatuwezi kuendelea kusoma...
1 Reactions
7 Replies
950 Views
kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari. Natafuta mtu anayesomea Shahada ya Kiswahili UDSM anipe msaada wa uchambuzi wa vitabu fulani vya Kiswahili. Ni Muhimu awe mwanafunzi maana kazi tutaifanyia chuoni. Naomba aniDM.
1 Reactions
1 Replies
395 Views
Msaaada kujua kama ofisi za Baraza la mitihani Tz, je zimeamishiwa Dodoma au bado wapo Dar, nipo Arusha kwa hiyo nataka nijue wapi kwa kwenda! Natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau mwaka jana nilimsaidia mtu kuomba chuo diploma. Alikuwa amechelewa hivyo katika kutafuta nikapata NIT wako na second round application, nikamuombea hapo sasa mpaka leo akaunti yake inasema...
0 Reactions
3 Replies
842 Views
MAANDALIZI YA KUPATA KASUKU WAZURI. interview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ila wataofuzu ni 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga, tatizo ni kwamba hao vipanga wa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom